Ibada Lyrics ibada_lyrics Mungu Wetu ni wa Ajabu

Mungu Wetu ni wa Ajabu

Lyrics Of The Song Mungu Wetu ni wa Ajabu

Song ID 523

Mungu wetu ni wa amani Mungu wetu ni wa amani Mungu wetu ni wa amani kanitoa wapi kaniweka wapi kanitoa chini kaniweka kati kanitoa kati kaniweka juu Mungu wetu ni wa amani Mungu wetu ni wa amani Mungu wetu ni wa amani Mungu wetu ni wa upendo Mungu wetu ni wa upendo Mungu wetu ni wa upendo kanitoa wapi kaniweka wapi kanitoa nursery kaniweka primary kanitoa primary kaniweka secondary Mungu wetu ni wa upendo Mungu wetu ni wa baraka Mungu wetu ni wa baraka Mungu wetu ni wa baraka kanitoa wapi kaniweka wapi kanitoa primary kaniweka secondary kanitoa seconday akiniweka chuo kikuu Mungu wetu ni wa baraka

Mungu Wetu ni wa Ajabu.mp3

Mungu Wetu ni wa Ajabu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post