Ibada Lyrics ibada_lyrics Wastahili Milele – Mungu Wetu Twakusifu Pokea sifa

Wastahili Milele – Mungu Wetu Twakusifu Pokea sifa

Lyrics Of The Song Wastahili Milele – Mungu Wetu Twakusifu Pokea sifa

Song ID 2204

come on everybody lets give Jesus praise he is worthy to be praised kwa matendo yako viumbe vyote twakutukuza umejawa rehema na neema muweza yote kwa matendo yako viumbe vyote twakutukuza umejawa rehema na neema muweza wa yote wastahili milele na milele Mungu wetu twakusifu pokea sifa Mungu wetu twakusifu mtawala mwaminifu mwenye enzi twakuinua pokea sifa wewe Mungu unaponya wabariki wainua wewe pekee twakusifu pokea sifa wastahili wastahili milele na milele Mungu wetu twakusifu pokea sifa wewe Mungu hulinganishwi hufananishwi na yeyote uliumba hukuumbwa pokea sifa uweza wako ni wa milele ufalme wako ni wa milele wewe pekee twakusifu pokea sifa kwa matendo yako viumbe vyote twakutukuza umejawa na rehema neema muweza yote kwa matendo yako viumbe vyote twakutukuza umejawa na rehema neema muweza yote

Wastahili Milele – Mungu Wetu Twakusifu Pokea sifa.mp3

Wastahili Milele – Mungu Wetu Twakusifu Pokea sifa.video.mp4 YouTube

 

Hits: 8

Leave a Reply

Related Post