Lyrics Of The Song Wastahili mwanakondoo wa Mungu uliyechinjwa
Song ID 491
mfalme wa mataifa wewe ni wathamana sana mwana kondoo wa Mungu uliyechinjwa upewe heshima sifa na uwezo mwana kondoo wa Mungu uliyechinjwa wastahili wastahili wastahili mwana kondoo wa Mungu uliyechinjwa mwana kondoo wa Mungu wastahili wastahili wastahili mwana kondoo wa Mungu uliyechinjwa uliyenilipia deni ukanitoa kwenye aibu ukanifanya mwana wako umenitoa kwenye matope haukuniacha nizame Yesu wastahili mwanakondoo wa Mungu uliyechinjwa milele wastahili wastahili wastahili mwana kondoo wa Mungu uliyechinjwa umeinuliwa wastahili wastahili wastahili mwana kondoo wa Mungu uliyechinjwa mbinguni hata duniani hata chini ya dunia hakuna angeyeweza kuniokoa ila ni wewe Yesu mwana wa Mungu umenifanya mteule wako mtu wa milki ya Mungu niwe kuwa wa kifalme mwana kondoo wa Mungu uliyechinjwa
Wastahili mwanakondoo wa Mungu uliyechinjwa.mp3
Wastahili mwanakondoo wa Mungu uliyechinjwa.video.mp4 YouTube
Hits: 25