Ibada Lyrics ibada_lyrics Hosanna Hosanna Uliye Juu

Hosanna Hosanna Uliye Juu

Lyrics Of The Song Hosanna Hosanna Uliye Juu

Song ID 801

oooh tunakuabudu Bwana tukisema unatosha tunakuabudu Bwana tukisema unatosha tunakuinua Bwana tukisema unatosha tunakutuza Bwana tukisema unatosha hosanna hosanna uliye juu mwanakondoo wa Mungu unatosha hosanna hosanna uliye juu mwanakondoo wa Mungu unatosha hosanna hosanna uliye juu mwanakondoo wa Mungu unatosha tunakutuza Bwana tukisema unaponya tunakuinua Yesu tunakutuza Bwana tukisema unaokoa tunakutukuza yahweh tunakutuza Bwana tukisema unaweza hosanna hosanna uliye juu mwanakondoo wa Mungu unatosha hosanna hosanna uliye juu mwanakondoo wa Mungu unaokoa hosanna hosanna uliye juu mwanakondoo wa Mungu unainua hosanna hosanna uliye juu mwanakondoo wa Mungu unaweza tuna mavujo na zaidi ya mawazo

Hosanna Hosanna Uliye Juu.mp3

Hosanna Hosanna Uliye Juu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 5

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post