Tambarare

Lyrics Of The Song Tambarare

Song ID 2549

giza mbele na mauti nyuma pande zote huo umeshindwa kwamba nini pesa hakuna mali umenyanganywa wamekukimbia uliowategemea nasikia sauti kilio cha Yesu njooni kwangu mlio na mizigo nitawapumzisha hakuna kilio tena nitawapumzisha wataimba haleluya nitaifanya milima tambarare nitayafanya mabonde yote yajae ntanyosha sawa njia zote wanadamu tutauona eeh ntaifanya mambo yote mapya eeh tazama natenda kitu kipya leo imba kwa shangwe wewe uliye tasa shangilia sana wewe uliye tasa panua nafasi imani mwako tandaza pazia hapo unapoishi utapanuka kila upande wazawa wako watamiliki mataifa sema Bwana unaweza Yesu wewee Mungu wangu unaweza Mungu wangu wewe unaweza hakuna linalikushinda unaweza Yesu wee Yesu wee unaweza jehovah shammah unaweza jehovah rapha unaweza jehovah nissi unaweza elshaddai unaweza

Tambarare.mp3

Tambarare.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post