Ibada Lyrics ibada_lyrics Hakuna wa kufanana na Yesu

Hakuna wa kufanana na Yesu

Lyrics Of The Song Hakuna wa kufanana na Yesu

Song ID 1041

halleluyah halleluyah hakuna wakufanana na Yesu hakuna wa kufanana naye hakuna wa kufanana Yesu hakuna wa kulinganishwa nawe hakuna wa kufanana naye hakuna dunianani yote baba hakuna wa kufanana naye halleleya halleluya halleluyah hakuna wa kufanana naye uinuliwe uiniliwe uinuliwe hakuna wa kufanana naye alinifia msalabani hakuna wakufanana na naye hakuna wa kufanana naye akazibeba dhambi zangu zote akachukua masikitiko yangu hakuna wa kufanana naye magonjwa yangu yote akajitwika hakuna wa kufanana naye pokea sifa pokea sifa pokea sifa hakuna wa kufanana nawe hakuna wa kufanana naye uinuliwe uinuliwe hakuna wa kufanana naye juu mbinguni hakuna kama wewe hakuna wa kufanana naye maishani mwangu hakuna kama wewe ooh hakuna kama wewe hakuna wa kufanana nawe wewe watosha wewe watosha wewe watosha hakuna wa kufanana nawe

Hakuna wa kufanana na Yesu.mp3

Hakuna wa kufanana na Yesu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 7

Leave a Reply

Related Post