Ibada Lyrics ibada_lyrics Kimbilio Langu ni Yesu Msaada wangu

Kimbilio Langu ni Yesu Msaada wangu

Lyrics Of The Song Kimbilio Langu ni Yesu Msaada wangu

Song ID 1166

kimbilio langu ni Yesu msaada wangu ni yahweh kimbilio langu ni Yesu msaada wangu ni yahweh nilipokuwa na magonjwa msaada wangu ni Yesu nilipokuwa na shida kimbilio langu ni Yesu nilipotazama juu nikaita msaada tosha msaada wa baraka msaada wa uponyaji eeh Yesu we pokea sifa pokea sifa na utukufu baba pokea sifa eeh pokea sifa pokea sifa na utukufu baba pokea sifa eeh wewe ni mwema wewe ni mwema wewe ni mwema maishani mwangu wewe ni mwema eeh wewe ni mwema maishani mwangu baba wewe ni mwema aah umetambulika umetambulika dunia yote umetambulika aah umetambulika umetambulika dunia yote umetambulika aah nani kama wewe nani kama wewe hakuna mwingine kama wewe baba umetambulika aah hakuna mwingine kama wewe baba umetambulika aah umeinua moyo wangu umetambulika umenipa siku njema baba umetambulika aah umekuwa mwema tena umetambulika aah

Kimbilio Langu ni Yesu Msaada wangu.mp3

Kimbilio Langu ni Yesu Msaada wangu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post