Ibada Lyrics ibada_lyrics Jehovah Mungu Umeinuliwa

Jehovah Mungu Umeinuliwa

Lyrics Of The Song Jehovah Mungu Umeinuliwa

Song ID 501

jehovah Mungu umeinuliwa hakuna tena wa kufanana nawewe wewe mfalme wa wafalme hakuna Mungu wa kufanana nawewe ukianzisha jambo unamaliza hakuna Mungu wakufanana nawewe jehovah Mungu umeinuliwa hakuna tena wa kufanana nawewe miungu ni vinyago tu hakuna mwingine wa kufanana nawewe jehovah Mungu umeinuliwa hakuna tena wa kufanana nawewe miungu mingine kazi ya wanadamu hakuna mwingine wa kufanana nawewe jehovah Mungu umeinuliwa hakuna tena wa kufanana nawewe kwa wenye shida umeinuliwa hakuna tena wakufanana nawewe jehovah Mungu umeinuliwa hakuna tena wa kufanana nawewe upendo wako ni wa milele hakuna tena wakufanana nawewe jehovah Mungu umeinuliwa hakuna tena wa kufanana nawewe wewe huwainua walio wanyonge hata kuwaketisha pamoja na wafalme jehovah Mungu umeinuliwa hakuna tena wa kufanana nawewe wewe ni Mungu tena wa milele hakuna tena wa kufanana nawewe jehovah Mungu umeinuliwa hakuna tena wa kufanana nawewe umeinuliwa Bwana umeinuliwa umeinuliwa Bwana umeinuliwa umeinuliwa Bwana umeinuliwa umeinuliwa Bwana umeinuliwa

Jehovah Mungu Umeinuliwa.mp3

Jehovah Mungu Umeinuliwa.video.mp4 YouTube

 

Hits: 10

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post