Ibada Lyrics ibada_lyrics Bwana Umeinuliwa Katika Kiti Chako Cha Enzi

Bwana Umeinuliwa Katika Kiti Chako Cha Enzi

Lyrics Of The Song Bwana Umeinuliwa Katika Kiti Chako Cha Enzi

Song ID 2979

Bwana umeinuliwa katika kiti chako cha enzi Bwana umeinuliwa aah katika kiti chako cha enzi maserafi wako mbele zako Mungu uu wazikabithi heshima zako mbele zako wanalia mtakatifu ni wewe Mungu mtakatifu mtakatifu ni wewe Mungu makerubi pia wako mbele zako ooh hata nao wazikabithi heshima zao wanazivua taji zao za dhahabu uuh wakiinama mtakatifu ni wewe Mungu wazee wale ishirini na wanne eeh hata nao wazikabidhi heshima zao wanainama mtakatifu ni wewe Mungu uu mtakatifu mtakatifu ni wewe Mungu Bwana umeinuliwa aa katika kiti chako cha enzi Bwana umeinuliwa aah katika kiti chako cha enzi viumbe wale walio hai ii hata nao wazikabithi heshima zao wapeperusha mabawa yao mbele zako ooh wajifunika mtakatifu ni wewe Mungu nafsi yangu naiinua mbele zako ooh naungamana na hilo jeshi la mbinguni mataifa yote nayo yajue eeh ya kwamba wewe wewe Mungu ni mtakatifu Bwana umeinuliwa aaah katika kiti chako cha enzi Bwana umeinuliwa aah katika kiti chako cha enzi

Bwana Umeinuliwa Katika Kiti Chako Cha Enzi.mp3

Bwana Umeinuliwa Katika Kiti Chako Cha Enzi.video.mp4 YouTube

 

Hits: 7

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post