Ibada Lyrics ibada_lyrics KIBALI – Baba Naomba Kibali Chako

KIBALI – Baba Naomba Kibali Chako

Lyrics Of The Song KIBALI – Baba Naomba Kibali Chako

Song ID 2427

baba naomba kibali chako kibali chako Yesu naomba ushirika wako ushirika wako masiha naomba kibali chako kibali chako kibali chako kibali chako kwa uimbaji wangu kibali chako kibali chako kibali chako kwa huduma yangu kibali chako nishikilie nisianguke baba natamani nikae na wewe maishani ninapoimba uwepo wako ushuke baba nisiwe na kiburi ndani yangu nitumie baba kama ndabihu iliyosafi mbele zako nitumie Yesu naona mbingu zikifunguka katika kuabudu naona sifa zikitanda dunia yote naona mbingu zikifunguka katika kuabudu naona sifa zikitanda dunia yote najitoa kama dhabihu nitumie baba wewe ni mwema sana umetukuka hakuna kama wewe wewe ni mwema sana umetukuka hakuna kama wewe nishikilie nisianguke baba ukiniacha nitamezwa na dunia naomba unishikilie wokovu wangu naomba unishikilie imani yangu achilia kibali chako ndani yangu achilia uwepo wako ndani yangu achilia ushindi wako juu yangu achilia amani yako juu yangu achilia kibali chako ndani yangu achilia uwepo wako ndani yangu

KIBALI – Baba Naomba Kibali Chako.mp3

KIBALI – Baba Naomba Kibali Chako.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post