Ibada Lyrics ibada_lyrics Mungu wetu Mwenye Nguvu Baba wa milele

Mungu wetu Mwenye Nguvu Baba wa milele

Lyrics Of The Song Mungu wetu Mwenye Nguvu Baba wa milele

Song ID 1940

biblia yasema waabudio Bwana wataabudu katika roho na kweli na ni wakati huu ukiwa ndani ya gari lako ukiwa ndani ya basi unasafiri ukiwa unafanya kazi ndani ya ofisi yako jiunge pamoja nami tumwinue tumwambie wastahili uko mwenye nguvu ikiwa uliamka asubuhi na hukumwambia kitu Mungu ni wakati wa kumwambia utukuzwe uinuliwe jiunge pamoja tumwambie wastahili ikiwa unakuwa kwenye maombi ya kufunga na kuomba hebu jiunge pamoja nasi twende Mungu wetu mwenye nguvu baba wa milele Mungu wetu mwenye nguvu baba wa milele eeh ni mwenye nguvu ebenzer baba wa milele Mungu wetu mwenye nguvu baba wa milele ehe wanipa mema baba wa milele yote Mungu wetu mwenye nguvu baba wa milele nguvu zako zashangaza dunia uliumba mbingu pasipo nguzo hewani baba Mungu wetu mwenye nguvu baba wa milele uko mwema Bwana matendo yako ni ya ajabu sana neema yako fadhili zako kila asubuhi ni mpya tena zanifajiri Mungu niamu kapo nikosewa na maisha wanipa tumaini la kupata maisha wajapo nicheka majirani wangu wewe ni kwa upande wangu ooh baba neema yako fadhili zako kila asubuhi ni mpya tena zanifajiri Mungu niamukapo wanipa tumaini la maisha baba yangu duniani natembea nawe baba yangu hujaniacha mimi neema yako fadhili zako kila asubuhi ni mpya tena zanifajiri Mungu niamukapo kulala kuamuka ni kwa neema yake Mungu ndugu yangu ulimupa Mungu nini wewe usione jinsi ulivyo usijivune vune ni neema yake Mungu neema yako fadhili zako kila asubuhi ni mpya tena zanifajiri Mungu niamukapo nani kama wewe Mungu sina mwingine kama wewe mfalme wa dunia ni wewe mwanzo na mwisho ni wewe baba utukuzwe baba uinuliwe daddy daddy baba utukuzwe baba uinuliwe rafiki yangu i love you i love you i love you baba yoo baba utukuzwe baba uinuliwe maneno yako yafungua watu yafungua waatu baba utukuzwe baba uinuliwe sitasahau ulikonitoa umenitoa mbali umenitoa mbali baba utukuzwe baba uinuliwe rafiki yangu nakupenda sana nakupenda sana baba utukuzwe baba uinuliwe maneno yako yana nguvu sana yana nguvu sana baba utukuzwe baba uinuliwe kwa neno lako lazaro kafufuka kafufuka baba utukuzwe baba uinuliwe oh baba oh baba oh baba

Mungu wetu Mwenye Nguvu Baba wa milele.mp3

Mungu wetu Mwenye Nguvu Baba wa milele.video.mp4 YouTube

 

Hits: 7

Leave a Reply

Related Post