Ibada Lyrics ibada_lyrics Uinuliwe Mungu wa Ishara

Uinuliwe Mungu wa Ishara

Lyrics Of The Song Uinuliwe Mungu wa Ishara

Song ID 2469

baada ya kilio furaha sasa aah mafuta ya shangwe ondoa kuomboleza aah pahala pa dhihaka leta heshima majira na nyakati zote unabaki mwaminifu juu ya neema yako nashangaa ntakulipa nini uu mwaminifu ee Bwana eeh Bwana u mwaminifu ee Bwana usiyepuuza kilio cha yeyote wakubwa kwa wadogo maskini hata tajiri sikio lako halibagui ukifuta makosa wala hukumbuki tena juu ya neema yako nashangaa ntakulipa nini uu mwaminifu ee Bwana eeh Bwana u mwaminifu ee Bwana uinuliwe Mungu wa ishara uinuliwe Mungu wa ajabu uinuliwe Mungu wa uweza uinuliwe Mungu wa ushindi uinuliwe Mungu wa ishara uinuliwe Mungu wa ajabu uinuliwe Mungu wa uweza uinuliwe Mungu wa ushindi uinuliwe uinuliwe

Uinuliwe Mungu wa Ishara.mp3

Uinuliwe Mungu wa Ishara.video.mp4 YouTube

 

Hits: 6

Leave a Reply

Related Post