Ibada Lyrics ibada_lyrics NI wewe wa kuabudiwa ni wewe

NI wewe wa kuabudiwa ni wewe

Lyrics Of The Song NI wewe wa kuabudiwa ni wewe

Song ID 1659

ni wewe wa kuabudiwa ni wewe ni wewe wa kuabudiwa ni wewe wa kupewa sifa na utukufu na hesima ni wewe mwenye nguvu na uwezo ni wewe wa kupewa sifa na utukufu na hesima ni wewe mwenye nguvu na uwezo ni wewe ni wewe wa kuabudiwa ni wewe wa kupewa sifa na utukufu na hesima ni wewe mwenye nguvu na uwezo ni wewe wa kupewa sifa na utukufu na heshima ni wewe mwenye nguvu na uweza ni wewe wa kupewa sifa na utukufu na hesima ni wewe mwenye nguvu na uwezo ni wewe ufanye moyo wangu uwe wa kukuabudu baba yangu yafanye maisha yangu yawe ya kukusifu wewe maana pweke wastahili heshima na utukufu mwenye nguvu na uweza ni wewe peke yako wastahili heshima na utukufu mwenye nguuvu na heshima ni wewe nilizaliwa mimi kwa neeema yako niliumbwa baba kwa mfano wako yanipasa nikutumikie wewe peke maana wewe tu ni mwenye nguvu na uweza

NI wewe wa kuabudiwa ni wewe.mp3

NI wewe wa kuabudiwa ni wewe.video.mp4 YouTube

 

Hits: 5

Leave a Reply

Related Post