Ibada Lyrics ibada_lyrics Nasadiki : 1 1C

Nasadiki : 1 1C

Lyrics Of The Song Nasadiki : 1 1C

Song ID 400

nasadiki Mungu mmoja muumba mbingu na dunia na kwa Bwana Yesu kristu mwana wake wa pekee nasadiki kwa Mungu mmoja nasadiki nasadiki Mungu aliye tuumba nasadiki nasadiki na kwa mwana mkombozi nasadiki nasadiki Mungu aliye tuumba nasadiki nasadiki na kwa roho wa uzima nasadiki nasadiki Mungu aliye tuumba nasadiki nasadiki alitungwa kwa uwezo wake roho mtakatifu x2 kazaliwa na maria yule mama na bikira aliteswa kwa pilato ndipo akasulubiwa x2 kafa tena akazikwa akashukia kuzimu siku ya tatu kafufuka akapaa hata mbinguni x2 amekaa kuume kwa Mungu baba aliye mwenyezi atakuja kuhukumu wazima pia na wafu x2 na ufalme utakuwa falme wake wa milele nasadiki kwa kanisa takatifu katoliki x2 shirika la watakatifu maondoleo ya dhambi zetu nangojea ufufuko wa miili toka kwa wafu x2 na uzima wa milele yote hayo nasadiki

Nasadiki : 1 1C.mp3

Nasadiki : 1 1C.video.mp4 YouTube

 

Hits: 5

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post