Ibada Lyrics ibada_lyrics Utanitambuaje – Tazama Matendo

Utanitambuaje – Tazama Matendo

Lyrics Of The Song Utanitambuaje – Tazama Matendo

Song ID 1587

utanitambuaje kama nimeokoka utanitambuaje kama namweshimu Mungu nasema utajuaje kama tuko pamoja katika safari ndefu ya kwenda mbiguni eeh utanitambuaje ndugu yangu nakuuliza niambie aiyee huwezi kunitambua kama nimeokoka kwa kunitazama sura yangu huwezi kunitambua kama nimeokoka kwa kunitazama maumbile yangu Bwana asifiwe isiwe sababu kukufanya uamini kuwa nimeokoka japo mali yangu naweza kutamka Bwana asifiwe kumbe sijaokoka utanitambuaje niambie aiyee ukitaka kutambua kama nimeokoka hakuna haja ya kupata shida ukitaka kutambua kama nimeokoka hakuna haja ya kuumiza kichwa Bwana wetu Yesu alishasema utawatambua kwa matendo matendo tazama matendo utanitambua eeh matendo yangu tazama matendo matendo tazama matendo kama kweli ninamcha Mungu utanitambuaje usinitazame umbile tazama matendo matendo tazama matendo matendo tazama matendo kama kweli ninamcha Mungu utanitambuaje hata kama nimebatizwa tazama matendo matendo tazama matendo matendo kama kweli ninamcha Mungu utanitambuaje mtume petro aliulizwa wewe ni mwanafunzi wa Yesu mtume petro kwa kuogopa wayahudi akakataa mimi simjui Yesu wakamwambia mbona hata kusema kwako kunaonyesha wewe mwanafunzi wa Yesu mtume petro akaamua kuondoka hata hivyo wakamtambua mwendo wake wakamwambia mbona hata kutembea kwako kunaonyesha wewe mwanafunzi wa Yesu kuongea na kutembea kwake petro kulionyesha yeye mwanafunzi wa Yesu matendo yangu matendo tazameni matendo utanitambua eeh matendo tazama matendo matendo tazama matendo matendo kama kweli ninamcha Mungu utanitambuaje ukitaka kutambua kama nimeokoka usitazame jinsi ninavojisifia naweza kujisifu mimi ni mpole sana lakini matendo yangu yakakataa naweza kujisifu mimi nawajali sana yatima lakini matendo yangu yakakataa naweza kujisifu mimi nawajali sana wajane lakini matendo yangu yakakataa matendo yangu matendo kama kweli ninamcha Mungu utanitambua aiyee

Utanitambuaje – Tazama Matendo.mp3

Utanitambuaje – Tazama Matendo.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Related Post