Ibada Lyrics ibada_lyrics Matendo Yako Yanatisha

Matendo Yako Yanatisha

Lyrics Of The Song Matendo Yako Yanatisha

Song ID 673

matendo yako yanatisha matendo yako yanatisha matendo yako baba yanatisha matendo yako yanatisha matendo yako yanatisha nimesikia habari zako nashuhudia kazi zako yale umetena yote umesema ni ishara kwamba wewe ni Mungu matendo yako yanatisha matendo yako yanatisha x2 matendo yako ni kamili kazi yako inadumu hauchelewi baba tunapokwitaji wewe upo wakati wote umesema ukisema ndio hakuna wa kupinga ndio na amina ooh jehovah baba wee nasema eeh eeh eeh yanatisha baba hakuna kama wewe eeh eeh eeh unainua baba unabariki wewe eeh eeh eeh unawaketisha na wafalme matendo yako

Matendo Yako Yanatisha.mp3

Matendo Yako Yanatisha.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Related Post