Ibada Lyrics ibada_lyrics Nahitaji Ndio Yako Yesu Tu

Nahitaji Ndio Yako Yesu Tu

Lyrics Of The Song Nahitaji Ndio Yako Yesu Tu

Song ID 2638

ingelikuwa Mungu anauliza mwanadamu jinsi ya kumtendeaaa mwanadamu basi mimi nisingekuwa jinsi nilivyo ata tena ninsingekuwa mahali nilipo ungeambiwa sifai wangekukanya vikali ungekumbushwa dhambi zangu za kale baba oooh unabariki unayependa unabariki unavyopenda mimi nahitaji eeeh nahitaji ndio ooh yako Yesu tu nahitaji ndio ooh yako Yesu tu ninataka ndio ooh yako Yesu tu ndio yako ndio itanisimamisha ndio yako itanifungulia milango hakuna sikio lenye funiko jamani wala sijaona jicho lenye pasia adui zako wangelikuwa na uwezo wangefunga macho wangefunika masikio wasikuone ukiwa juu wasisikie umebarikiwa meza utaandaliwa mbele yao utakula utakunywa mbele yao nasema ndio ndio ya Bwana eeeh Yesu usiposema ndio mali yangu akili zangu hazitaweza wanasema sema ndio yatoshaaa

Nahitaji Ndio Yako Yesu Tu.mp3

Nahitaji Ndio Yako Yesu Tu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post