Ibada Lyrics ibada_lyrics Damu Yako Inaweza Yote

Damu Yako Inaweza Yote

Lyrics Of The Song Damu Yako Inaweza Yote

Song ID 850

damu yako mwana Mungu damu yako inaweza yote damu yako mwana Mungu damu yako inaweza yote damu yako simba wa yudah damu yako Yesu inaweza yote damu yako yaponya ukoma damu yako baba inaweza yote damu yako yahweh inaweza yote damu yako yatembeza viwete damu yako mwana Mungu damu yako inaweza yote damu yako simba wa yudah damu yako Yesu damu yako mwana Mungu damu yako inaweza yote tunakuinua mwana wa Mungu damu yako Yesu damu yako mwana Mungu damu yako inaweza yote tunashangilia simba wa yudah damu yako Yesu inaweza yote

Damu Yako Inaweza Yote.mp3

Damu Yako Inaweza Yote.video.mp4 YouTube

 

Hits: 6

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post