Ibada Lyrics ibada_lyrics Yote kwa Yesu – Yote Namtolea Yesu

Yote kwa Yesu – Yote Namtolea Yesu

Lyrics Of The Song Yote kwa Yesu – Yote Namtolea Yesu

Song ID 1308

yote namtolea Yesu nampa moyo wote nitampenda siku zote namwandama kila saa yote kwa Yesu yote kwa Yesu yote kwako ee mwokozi natoa sasa yote namtolea Yesu nainamia pake nimeacha na anasa kwako Yesu nipokee yote namtolea Yesu nifanye niwe wako nipe roho yako Bwana anilinde daima yote namtolea Yesu nami naona sasa furaha ya ukombozi nasifu jina lake yote kwa Yesu yote kwa Yesu yote kwako ee mwokozi natoa sasa unto Jesus i surrender swahili version

Yote kwa Yesu – Yote Namtolea Yesu.mp3

Yote kwa Yesu – Yote Namtolea Yesu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Related Post