Ibada Lyrics ibada_lyrics Ukiwa na Maono ya Mungu – Maono Yako

Ukiwa na Maono ya Mungu – Maono Yako

Lyrics Of The Song Ukiwa na Maono ya Mungu – Maono Yako

Song ID 2385

ukiwa na maono utasonga mbele utabarikiwa utainuliwa ukiwa na maono utasonga mbele utabarikiwa utainuliwa ukiwa na maono ya Mungu ukiwa na maono utasonga mbele utabarikiwa utainuliwa na maono yako yatatimia ukiwa na maono ya Mungu ukiwa na maono utasonga mbele utabarikiwa utainuliwa na maono yako yatatimia yohana aliona maono pale partimo yoshua na calebu walikuwa na maono yusufu naye aliona maono kuwa nduduye wote watamwinamia ukitaka kuwa tajiri kuwa na mipango chukua hatua toa fungu la kumi kuwa na imani na matendo yafuate na maono yako yatatimia ukitaka kuimba kuwa na maono ya kwanza ni moto wa roho mtakatifu ya pili kuwa na mipango ya tatu chukua hatua ya nne kuwa na imani nautaipata fuata maono yako fuata maono yako mama fuata fuata maono yako fuata maono yako baba fuata fuata maono yako fuata maono yako dada fuata maono yako ndugu fuata maono yako

Ukiwa na Maono ya Mungu – Maono Yako.mp3

Ukiwa na Maono ya Mungu – Maono Yako.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post