Ibada Lyrics ibada_lyrics Mungu MKUU lyrics by Evelyn Wanjiru

Mungu MKUU lyrics by Evelyn Wanjiru

Lyrics Of The Song Mungu MKUU lyrics by Evelyn Wanjiru

Song ID 1412

unabaki kuwa Mungu pekee zaidi ya yote utabaki kuwa Mungu mkuu alpha na omega hubadiliki kamwe 2 nikitazama nyuma na mbele naona ukuu wako kaskazini kusini pia naona ukuu wako magharibi nako mashariki pia naona ukuu wako hakuna mkamilifu katika wanadamu yeeh zaidi ya ewe Mungu wangu kila goti lipigwe kila ulimi ukiri kuwa wewe ni Mungu pekee pekee umenipigania vita vikali ambavyo mimi singeweza pekee yanguuu maaduii waliniandama lakini ukawatawanya kwa njia sabaa usifiwee uabudiwee iyeeeh anabaki kuwa Mungu tuu anabaki kuwa Mungu tuu na kwa wakamba Mungu tu na kwa waluhya Mungu tu nao wakikuyu Mungu tu nao waturukana Mungu tu ata wakisii Mungu tu ata waluo Mungu tu na kwa wamaasai Mungu tu na kwa wakalenjini Mungu tu wa mijikenda Mungu tu anabaki kuwa Mungu tu na kwa wazungu Mungu tu afrika yote Mungu tu dunia yote utabaki kuwa Mungu mkuu

Mungu MKUU lyrics by Evelyn Wanjiru.mp3

Mungu MKUU lyrics by Evelyn Wanjiru.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Related Post