Ibada Lyrics ibada_lyrics Subiri Emmy Kosgei & Evelyn Wanjiru

Subiri Emmy Kosgei & Evelyn Wanjiru

Lyrics Of The Song Subiri Emmy Kosgei & Evelyn Wanjiru

Song ID 345

emmy kosgei evlyn wanjiru afadhali kungoja kungoja Bwana subiri subiri Bwana afadhali kungoja kungoja Bwana subiri subiri Bwana usichukue njia ya mkato usipotoshwa na washauri wasio haki heri mti yule aftwataye sheria za Bwana atakuwa kama mti kando kando ya maji huzaa matunda kwa majira yake kila atendalo atafanikiwa eeh afadhali kungoja kungoja Bwana subiri subiri Bwana afadhali kungoja kungoja Bwana subiri subiri Bwana umekuwa na maswali mengi mno unashangaa Mungu yuko wapi umebishabisha Mungu yuko wapi kufunga na kuomba kukesha na kuomba upate majibu Mungu sio mwandamu hadanganyi subiri kwa imani subiri oooh sorrow may last in the night joy comes in the morning subiri subiri Bwana wait on the Lord be still and know subiri subiri Bwana

Subiri Emmy Kosgei & Evelyn Wanjiru.mp3

Subiri Emmy Kosgei & Evelyn Wanjiru.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post