Ibada Lyrics ibada_lyrics NIKUFAHAMU lyrics by Evelyn Wanjiru

NIKUFAHAMU lyrics by Evelyn Wanjiru

Lyrics Of The Song NIKUFAHAMU lyrics by Evelyn Wanjiru

Song ID 2844

nikufahamu zaidi bwaaana nikujue zaidi Yesu nikufahamu zaidi yahweh nikuishie milele Bwanaa 2 nataka nitembee na wewe wakati wote nitembee kwa nuru yako baba eeh nishirikiane na wewe eeh kwa kila jambo ongoza hatua zangu ewe baba ongoza hatua zangu ewe baba wewe ni mume wa wajane baba wa yatima mfariji wa waliofiwa mtetezi wa wanyonge unaponya waliovunjwa mioyo nakuzinganda jeraha zao baba eeh hawa wote tengemeo lao ni wewe baba ndiposa wanasema

NIKUFAHAMU lyrics by Evelyn Wanjiru.mp3

NIKUFAHAMU lyrics by Evelyn Wanjiru.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Related Post