Ibada Lyrics ibada_lyrics Ongoza Hatua Zangu

Ongoza Hatua Zangu

Lyrics Of The Song Ongoza Hatua Zangu

Song ID 3363

hatua za mwenye haki zaongozwa naye Bwana na Bwana hufurahia njia zake wakati wote hatua za mwenye haki zaongozwa naye Bwana na Bwana hufurahia njia zake wakati wote nakukabidhi Bwana njia zangu zote pia nakutumaini najua Bwana utafanya hata nijapojikwa sitaanguka chini Bwana utanishika mkono na kunitengeneza mwangazie mtumishi wako uso wako maana ninayatamani maagizo yako tengeneza hatua zangu uovu usije ukanimiliki ongoza hatua zangu ee Bwana ee Bwana ongoza hatua mwenendo eeh Bwana eeh Bwana ongoza hatua zangu ee Bwana ee Bwana ongoza hatua mwenendo eeh Bwana eeh Bwana christina shusho ongoza hatua zangu

Ongoza Hatua Zangu.mp3

Ongoza Hatua Zangu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 6

Leave a Reply

Related Post