Ibada Lyrics ibada_lyrics Nikufahamu Zaidi Bwana

Nikufahamu Zaidi Bwana

Lyrics Of The Song Nikufahamu Zaidi Bwana

Song ID 1181

nikufahamu zaidi Bwana aah nikujue zaidi Yesu nikufahamu zaidi yahweh nikuishie milele Bwana aah nataka nitembee na wewe wakati wote nitembee kwa nuru yako baba eeh nishirikiane na wewe eeh kwa kila jambo ongoza hatua zangu ewe baba ongoza hatua zangu ewe baba ongoza hatu hatua zangu Yesu uu wewe ni mume wa wajane baba wa yatima mfariji wa waliofiwa mtetezi wa wanyonge unaponya waliovunjwa mioyo nakuzinganda jeraha zao baba eeh hawa wote tengemeo lao ni wewe baba ndiposa wanasema nikufahamu nikujue nikufahamu nikujue

Nikufahamu Zaidi Bwana.mp3

Nikufahamu Zaidi Bwana.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Related Post