Ibada Lyrics ibada_lyrics Wakuabudiwa wakuheshimiwa ni wewe Mungu

Wakuabudiwa wakuheshimiwa ni wewe Mungu

Lyrics Of The Song Wakuabudiwa wakuheshimiwa ni wewe Mungu

Song ID 1875

wakuabudiwa wakuheshimiwa ni wewe Mungu wakupewa sifa na utukufu ni wewe Mungu Mungu mwenye nguvu wastahili heshima zote hakuna mwingine wakulinganishwa na wewe Mungu rudia umesema wewe jina lako liko na liko niwe Mungu unafanya mambo yaliyo juu ya fahamu zetu Mungu ukisema ndio nani awezaye kupinga hakuna wewe unatupa kushinda na zaidi ya kushinda unatupandisha utukufu hadi utukufu Mungu rudia uzima wetu uko mikononi mwako Mungu unawapa nguvu wanyonge na wadhaifu Mungu unawanyeshea mvua wema nao waovu Mungu mwanadamu nani wakulinganishwa na wewe Mungu nani mwenye nguvu wa kusimama mbele yako Mungu rudia

Wakuabudiwa wakuheshimiwa ni wewe Mungu.mp3

Wakuabudiwa wakuheshimiwa ni wewe Mungu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Related Post