Lyrics Of The Song Patakatifu pako
Song ID 2138
patakatifu pako hapo ndipo nahitaji mahali baba juu ya yote katika mikono yako mimi najiweka nizungukwe mimi na uwepo wako niambie utakalo Bwana nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu nakuhitaji Bwana maishani mwangu niambie utakalo Bwana nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu nakuhitaji Bwana maishani mwangu nachohitaji nikufurahisha roho yako wewe rafiki mwema uliyenipenda kwa ajili yako Yesu sisi tumekombolewa kuwa na wewe Yesu yashinda yote rudia niambie utakalo Bwana nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu nakuhitaji Bwana maishani mwangu nahitaji mkono wako niongozwe na wewe Bwana kimbilio msaada wa karibu ni wewe nahitaji mkono wako niongozwe na wewe Bwana kimbilio msaada wa karibu niwe niwe niwewe nahitaji mkono wako niongozwe na wewe Bwana kimbilio msaada wa karibu uinuliwe
Patakatifu pako.video.mp4 YouTube
Hits: 4