Ibada Lyrics ibada_lyrics Nangojea Nasubiri malangoni pako

Nangojea Nasubiri malangoni pako

Lyrics Of The Song Nangojea Nasubiri malangoni pako

Song ID 1674

nangojea malangoni pako nasubiri malangoni pako nangojea malangoni pako nasubiri malangoni pako Yesu wee nangojea malangoni pako nasubiri malangoni pako nangojea malangoni pako nasubiri malangoni pako niende wapi nikwache wewe Yesu uu uu wewe unalo neno la maisha niende wapi nikwache wewe Yesu uu uu wewe unalo neno la maisha niende wapi nikuache wewe unayejua nitokako na niendako basi ni bora maana yeye angojeaye hutarajia kupata kitu basi usiwe na haraka mpendwa mwenzangu aliyewatendea wengine atakutendea basi usiwe na haraka mpendwa mwenzangu aliyewainua wengine atakuinua basi usiwer na haraka aliyebariki wengine atakubariki pia nangojea malangoni pako nasubiri malangoni pako nangojea malangoni pako nasubiri malangoni pako

Nangojea Nasubiri malangoni pako.mp3

Nangojea Nasubiri malangoni pako.video.mp4 YouTube

 

Hits: 7

Leave a Reply

Related Post