Ibada Lyrics ibada_lyrics Mungu Mkuu – Zaidi Ya Yote

Mungu Mkuu – Zaidi Ya Yote

Lyrics Of The Song Mungu Mkuu – Zaidi Ya Yote

Song ID 2925

zaidi ya yote utabaki kuwa Mungu mkuu alfa na omega hubadiliki kamwe x2 nikitazama nyuma na mbele naona ukuu wako kaskazini kusini pia naona ukuu wako magharibi nako mashariki pia naona ukuu wako zaidi ya yote utabaki kuwa Mungu mkuu alfa na omega hubadiliki kamwe hakuna mkamilifu katika wanadamu zaidi ya ewe Mungu wangu kila goti lipigwe kila ulimi ukiri kuwa wewe ni Mungu pekee umenipigania vita vikali ambavyo mimi singeweza pekee yangu maadui waliniandama lakini ukawatawanya kwa njia saba usifiwe uabudiwe everlyne wanjiru zaidi ya yote translation above all you will still be God the beginning and the end you never change

Mungu Mkuu – Zaidi Ya Yote.mp3

Mungu Mkuu – Zaidi Ya Yote.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post