Ibada Lyrics ibada_lyrics Mkuu – Wewe ni mkuu

Mkuu – Wewe ni mkuu

Lyrics Of The Song Mkuu – Wewe ni mkuu

Song ID 938

nikuite mfalme mfariji mtetezi msaada masia imanueli Mungu pamoja nasi tena niweee baba wa yatima nakupa sifa aa pokea sifa wewe ni mkuu nasema tena we ni mkuu umeshinda kifo na mauti wewe ni mkuu mshindi mweza mponyaji mtakatifu wee ni mkuu Yesu wewe ni mkuu tabibu wa ajabu mponyaji kimbilio la wenye haki jemedari mshinda na baba wa wajane nikuite nani hakuna kama wewe nakupa sifaaa pokea sifa wewe ni mkuu nasema tena we ni mkuu umeshinda kifo na mauti wewe ni mkuu mshindi muweza mponyaji mtakatifu wee ni mkuu Yesu wewe ni mkuu hakika we wa ajabu fadhili zako za milele wewe ni wa ajabu nitakupa sifa na utukufu uu uu hakuna kama wewe Mungu mwenye enzi twakuabudu Bwana pokea sifa aah

Mkuu – Wewe ni mkuu.mp3

Mkuu – Wewe ni mkuu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Related Post