Ibada Lyrics ibada_lyrics Waweza waweza mwokozi mambo Yote

Waweza waweza mwokozi mambo Yote

Lyrics Of The Song Waweza waweza mwokozi mambo Yote

Song ID 1260

waweza waweza waweza mwokozi waweza mambo yote wewe mwaminifu Bwana Mungu wangu weee umenikombowa eee umeniwezesha mimi wewe ni mkuu ukaniita kwa jina langu eeeee ukaniwezesha Bwana eee nikuabudu Bwana nikuimbie nilipokuwa kwenye dhambi ukanionyesha mwanga mwanga wewe ni mwanga wangu Bwana wewe ni mkuu waweza waweza waweza mwokozi waweza mambo yote wewe mwaminifu x2 Bwana Mungu wangu eee wewe ulimsaidia ayubu alipokuwa na shida nyingi Bwana ulikuwa naye neno lako linasema unazo fedha eeeeee zote nizako Bwana wewe ni muweza wakati ninazo shida na magonjwa Bwana unasema tuliite jina lako wewe ndiye muweza wewe ndiye mwenye nguvu wewe ni kimbiliyo baba waweza mambo yote unaweza unaweza unaweza baba unaweza x2

Waweza waweza mwokozi mambo Yote.mp3

Waweza waweza mwokozi mambo Yote.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Related Post