Ibada Lyrics ibada_lyrics Mwokozi Umeokoa

Mwokozi Umeokoa

Lyrics Of The Song Mwokozi Umeokoa

Song ID 3485

mwokozi umeokoa nimekuwa wako wewe damu imenisafisha sifa kwa mwana kondoo utukufu aleluya sifa kwa mwana kondoo damu imenisafisha utukufu kwa Yesu nilijitahidi sana ila sikupata raha bali kwa kumtegemea nilipata baraka daima namwegemea damu ikifanya kazi nikioga kwa chemchemi itokayo mwokozi sasa ninewekwa wakfu nitaishi kwako wewe fahari nashuhudia ya wokovu wa bure nasimama kwake Yesu ameponya roho yangu ameniondoa dhambi anifanye mzima nilikuwa kifungoni niliteswa na dhambi nilifungwa minyororo Yesu akanifungua sifa ameninunua sifa nguvu za mwokozi sifa Bwana huhifadhi sifa zake milele

Mwokozi Umeokoa.mp3

Mwokozi Umeokoa.video.mp4 YouTube

 

Hits: 6

Leave a Reply

Related Post