Ibada Lyrics ibada_lyrics Wamwendea Yesu Kwa Kusafiwa na kuoshwa kwa damu ya Kondoo

Wamwendea Yesu Kwa Kusafiwa na kuoshwa kwa damu ya Kondoo

Lyrics Of The Song Wamwendea Yesu Kwa Kusafiwa na kuoshwa kwa damu ya Kondoo

Song ID 2055

wamwendea Yesu kwa kusafiwa na kuoshwa kwa damu ya kondoo je neema yake atumwagia tumeoshwa kwa damu ya kondoo kuoshwa kwa damu itutakasayo ya kondoo ziwe safi nguo nyeupe mno umeoshwa kwa damu ya kondoo wamwandama daima mkombozi na kuoshwa na damu ya kondoo yako kwa msulubiwa makazi umeoshwa kwa damu ya kondoo

Wamwendea Yesu Kwa Kusafiwa na kuoshwa kwa damu ya Kondoo.mp3

Wamwendea Yesu Kwa Kusafiwa na kuoshwa kwa damu ya Kondoo.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Related Post