Ibada Lyrics ibada_lyrics Najua mkombozi wangu Anaishi

Najua mkombozi wangu Anaishi

Lyrics Of The Song Najua mkombozi wangu Anaishi

Song ID 1124

najua mkombozi wangu anaishi anaishi najua mkombozi wangu anaishi anaishi najua mkombozi wangu anaishi anaishi najua mkombozi wangu anaishi anaishi jua na mwezi zaisikia sauti yako samaki baharini wakuiniua ndege wa angani wanashangilia nami baba nakuabudu najua mkombozi wangu anaishi anaishi najua mkombozi wangu anaishi anaishi najua mkombozi wangu anaishi anaishi najua mkombozi wangu anaishi anaishi yeye ndiye jemedali mkuu yeshua kuani mkuu alpha omega mwanzo tena mwisho hakuna aliye kama yeye najua mkombozi wangu anaishi anaishi najua mkombozi wangu anaishi anaishi najua mkombozi wangu anaishi anaishi najua mkombozi wangu anaishi anaishi wanyonge wakukimbilia hata wagonjwa wewe wa waponya waliofungwa wewe wa wafungua utukuzwe wastahili najua mkombozi wangu anaishi anaishi najua mkombozi wangu anaishi anaishi nie nijohe nijohe mwoonekia wakwa are moyo are moyo nie nijohe nijohe mwoonekia wakwa are moyo are moyo nie nijohe nijohe mwoonekia wakwa are moyo are moyo najua mkombozi wangu anaishi anaishi najua mkombozi wangu anaishi anaishi

Najua mkombozi wangu Anaishi.mp3

Najua mkombozi wangu Anaishi.video.mp4 YouTube

 

Hits: 10

Leave a Reply

Related Post