Ibada Lyrics ibada_lyrics Nafasi Yote Moyoni – Namba Moja

Nafasi Yote Moyoni – Namba Moja

Lyrics Of The Song Nafasi Yote Moyoni – Namba Moja

Song ID 1211

nafasi yote moyoni nimeshaipa kwa Yesu ni namba moja moja moja moja nimeshatembea nimeshazunguka kila pahali nikifika kila kona nimejaribu kutafutakinachoweza kuridhisha moyo wangu nikatanga tanga masharikina kusini ili muundaji nitafute nikamanga manga magharibi kaskazini kupata kile ninachotaka wimbo juhudi zangu zote zilipogonga mwamba nikafa moyo nikakata tamaa ndio Bwana akaja kanigusa nikasimama nikaanza kutembea asante Bwana mwokozi wangu nimetambua kama nimekupata pewa wimbo pewa sifa asante Yesu nimeshatembea nimeshazunguka kila pahali nikifika kila korna nimetambua nimekupata Bwana Yesu mwokozi wangu nafasi

Nafasi Yote Moyoni – Namba Moja.mp3

Nafasi Yote Moyoni – Namba Moja.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Related Post