Ibada Lyrics ibada_lyrics Karibu Yesu Moyoni Mwangu

Karibu Yesu Moyoni Mwangu

Lyrics Of The Song Karibu Yesu Moyoni Mwangu

Song ID 1390

karibu Yesu moyoni mwangu karibu Yesu moyoni mwangu karibu Yesu moyoni mwangu karibu Yesu moyoni mwangu karibu Bwana moyoni mwangu karibu Bwana useme nami moyo wangu unatamani kusema nawe moyo wangu ulikaribisha wageni Bwana sikujua nifanyeje nao nilikosa amani nilikosa msaada wowote nimesikia habari zako Bwana nakukaribisha moyoni mwangu karibu Bwana moyoni mwangu eeh Bwana nimesikia habari zako ya kwamba unafariji eeh Bwana nimesikia ujumbe wako ya kwamba unaponya

Karibu Yesu Moyoni Mwangu.mp3

Karibu Yesu Moyoni Mwangu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 5

Leave a Reply

Related Post