Ibada Lyrics ibada_lyrics Moyoni Mwangu

Moyoni Mwangu

Lyrics Of The Song Moyoni Mwangu

Song ID 1764

moyoni mwangu ninashukuru jina lake Bwana na roho yangu inafurahi kwa sababu ya pendo lake alitupenda sisi wandamu ooh alitupenda akamtuma Yesu mwanawe aje atuokoe ooh Mungu wangu Mungu wangu Bwana wangu ulipenda ulimwengu ukamtuma mwana wako aje atukomboe nasi tunakushukuru sababu ya pendo lako x2 tangu sasa watu wa dunia wamshukuru Mungu ametimiza ahadi yake kweli ametupendeza pendo lake halina kipimo ooh alitupenda bila shaka ametuokoa tumwimbie kwa shangwe Mungu wangu Bwana wangu ulipenda ulimwengu ukamtuma mwana wako azeje atukomboe nasi tunakushukuru sababu ya pendo lako

Moyoni Mwangu.mp3

Moyoni Mwangu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 6

Leave a Reply

Related Post