Lyrics Of The Song Asante Masiya
Song ID 3010
asante masiya asante mwana wa maria x2 umetutendea maajabu asante mwana wa maria umetuongoza maishani asante mwana wa maria umetulisha kwa mwili wako umetunywesha kwa damu yako tunakushukuru Mungu wetu kwa kutufikisha leo hii wewe ndiwe mchungaji mwema kimbilio letu maishani kwani ulikuja kutukomboa ongoza hatua zetu Bwana
Asante Masiya.video.mp4 YouTube
Hits: 17