Ibada Lyrics ibada_lyrics Karibu Zaidi Na Wewe Mungu Wangu

Karibu Zaidi Na Wewe Mungu Wangu

Lyrics Of The Song Karibu Zaidi Na Wewe Mungu Wangu

Song ID 75

karibu na wewe Mungu wangu karibu zaidi Bwana wangu siku zote niwe karibu na wewe karibu zaidi Mungu wangu mimi nasafiri duniani pa kupumzika sipaoni nilalapo niwe karibu na wewe karibu zaidin Mungu wangu na kwa nguvu zangu nikusifu mwamba uwe maji ya wokovu mashakani niwe karibu na wewe karibu zaidi Mungu wangu na nyumbani mwa juu baba yangu zikikoma hapa siku zangu kwa furaha niwe pamoja na wewe karibu kabisa Mungu wangu

Karibu Zaidi Na Wewe Mungu Wangu.mp3

Karibu Zaidi Na Wewe Mungu Wangu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 12

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post