Ibada Lyrics ibada_lyrics Karibu Yesu Karibu Moyo Wangu Uponye

Karibu Yesu Karibu Moyo Wangu Uponye

Lyrics Of The Song Karibu Yesu Karibu Moyo Wangu Uponye

Song ID 584

nataka kufanana nawe nataka kufanana nawe nataka kufanana nawe moyo wangu upone karibu Yesu karibu karibu Yesu karibu karibu Yesu karibu moyo wangu uponye nataka kujazwa na roho nataka kujazwa na roho nataka kujazwa na roho moyo wangu upone nataka kukujua vyema nataka kukujua vyema nitembee kwa uwepo wa roho moyo wangu uponye

Karibu Yesu Karibu Moyo Wangu Uponye.mp3

Karibu Yesu Karibu Moyo Wangu Uponye.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Related Post