Ibada Lyrics ibada_lyrics Tumaini Langu Ni Yesu

Tumaini Langu Ni Yesu

Lyrics Of The Song Tumaini Langu Ni Yesu

Song ID 2903

aliyeanzisha kazi ndani yangu ni yeye atakayetimiliza aa aah hatoacha hatua yangu usongezwe ananilinda kusudi lake atakako akiniacha yeye yuko nami marafiki wakinitenga yeye yuko nami atakako akiniacha yeye yuko nami marafiki wakinitenga yeye yuko nami kama uko kinyume nami jua uko kinyume naye maana sikutii utani aliyeniita ni yeye tumaini langu ni Yesu uzima wangu ni Yesu ushindi wangu ni Yesu ni Yesu ni Yesu tumaini langu ni Yesu uzima wangu ni Yesu ushindi wangu ni Yesu ni Yesu ni Yesu haijalishi ni mtaa gani umezunguka ahadi ya Mungu kwako itatimia usipokata tamaa moyoni zimia

Tumaini Langu Ni Yesu.mp3

Tumaini Langu Ni Yesu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Related Post