Ibada Lyrics ibada_lyrics Ombi Langu – Natamani Kuingia mbinguni

Ombi Langu – Natamani Kuingia mbinguni

Lyrics Of The Song Ombi Langu – Natamani Kuingia mbinguni

Song ID 1846

kama ayala anatamani maji huko jangwani roho yangu inatamani uso wa baba yangu natamani nifike sasa niabudu mbele zako natamani kukuishia hili ni ombi langu nitainua macho yangu nitazame milimani msaada wangu watoka wapi kweli ni kwako Bwana wewe ni Mungu wangu wewe ni mwamba wangu wewe mpenzi wangu wewe mwokozi wangu siku nyingi nimetumika kwa kazi yako Bwana lakini sitaki Bwana nikose kuona wewe hili ni ombi langu hili ni ombi langu hili ni ombi langu hili ni ombi langu natamani kuingia mbinguni kwa baba yangu huko kunayo raha ya ajabu huko kuna uzima sawasawa natamani kumwona Bwana Yesu mwokozi wangu yeye ukimuona anameremeta yeye ukimfahamu ni uzima tele tele hili ni ombi langu la milele kufika kwake kumtumikia kumfahamu ni ombi langu hakuna Mungu kama wewe tanzania kenya ukienda ulaya hakuna Mungu kama wewe msalaba wa Yesu msalaba umeniokoa dhambi hallelujah

Ombi Langu – Natamani Kuingia mbinguni.mp3

Ombi Langu – Natamani Kuingia mbinguni.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Related Post