Ibada Lyrics ibada_lyrics Baba Natamani Kuwa Nawe

Baba Natamani Kuwa Nawe

Lyrics Of The Song Baba Natamani Kuwa Nawe

Song ID 2910

natamani baba natamani kuwa nawe kuishi nawe kukaa nawe natamani Yesu wewe wanitosha Bwana wangu nakutamani baba natamani uwe wangu niwe wako chote kilicho changu kiwe ni chako pia upendo wako kwangu Yesu ni kama moto nimekukimbilia nisiabike milele lee eh baba baba natamani kuwa nawe kuishi nawe kukaa nawe natamani Yesu wewe wanitosha Bwana wangu nakutamani baba nimeona upendo wako sio kwa mbali moyo wangu wafurahi ndani ya moyo wako nitakuinua umekuwa mwema kwangu pokea sifa wewe umekuwa mwema kwangu wewe mwema nitakuita hadi moyo wangu uzimie uniongoze kwenye mwamba ulio juu zaidi yangu nitakuita Bwana wangu unisikie ombi langu sifa zangu kilio changu ninapoomba wanisikia eeh ninapoimba wanisikia eeh ninapolia mimi wanisikia eeh ninapokuita wanisikia eeh

Baba Natamani Kuwa Nawe.mp3

Baba Natamani Kuwa Nawe.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post