Ibada Lyrics ibada_lyrics Nimekupata Yesu -natamani nitembee

Nimekupata Yesu -natamani nitembee

Lyrics Of The Song Nimekupata Yesu -natamani nitembee

Song ID 3720

nimekupata Yesu nimepata yote nimekupata Bwana sitahitaji tena aah wewe ndiwe hitaji langu ngome yangu na mwamba tengemeo langu katika hali jaza moyo wangu upendo nikupende u rafiki wa kweli nifundishe kupenda aah Bwana maana upendo wako ndio pekee waweza kunifanya kiumbe kipya nikakufuate natamani nitembee katika upendo wa Bwana upendo ule wa dhati upendo husiobagua upendo uletao hekima busara na amani upendo wakimbingu pekee ulio bora wapenzi wa kulia wengi ni wadanganyifu niwapo katika hali zuri tuko wote eeh lakini katika matatizo wote wanikimbia wewe nimekupata nitakushikilia nakukaribisha Bwana uyatawale maisha yetu ya kila siku tufundishe kupanda aah mbegu za upendo wa dhati mwisho wa nyakati tuweze kuvuna matunda ya ukamili kamilisha upendo Mungu aliohadaa dumisha ndoa zao furaha itawale Bwana pembeni za unyonge na udhaifu wao familia iwe mwanga wa mbingu ku natamani nitembee katika upendo wa Bwana upendo ule wa dhati upendo husiobagua upendo uletao hekima busara na amani upendo wakimbingu pekee ulio bora

Nimekupata Yesu -natamani nitembee.mp3

Nimekupata Yesu -natamani nitembee.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Related Post