Ibada Lyrics ibada_lyrics Sipati Picha – Natamani mbingu mpya nchi mpya

Sipati Picha – Natamani mbingu mpya nchi mpya

Lyrics Of The Song Sipati Picha – Natamani mbingu mpya nchi mpya

Song ID 101

mwaipopo natamani nchi mpya aliyoiandaa Yesu bass natamani natamani nchi mpya bass natamani natamani nchi mpya mimi natamani mbingu mpya na nchi mpya aliyoiandaa mwanakondoo kwa kunifahari naashi kwa kuwa x2 nitakapomwona mwana wa adamu akija mawinguni kunichukua na malaika wakishangilia eeh sipati picha nitakavyo kuwa x2 nitakapofika kwa baba yangu nitaketi naye nikimtazama nderemo vinubi na tarumbeta sipati picha siku hiyo x2 atakaposema karibu mwanangu taabu za dunia hautaziona nikiyalaani milele yote kwa raha zangu mimi sipati picha

Sipati Picha – Natamani mbingu mpya nchi mpya.mp3

Sipati Picha – Natamani mbingu mpya nchi mpya.video.mp4 YouTube

 

Hits: 16

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post