Ibada Lyrics ibada_lyrics Nenda Mwanangu Nenda

Nenda Mwanangu Nenda

Lyrics Of The Song Nenda Mwanangu Nenda

Song ID 2700

nenda mwanangu nenda x2 nakuomba mwanangu mwanangu umeshakuwa ni wajibu wako mwanangu mwanangu ukaanzishe familia familia yako yenye heri nenda mwanetu wazazi wako tumeridhia ndoa yako x2 nenda kwa uangalifu mwanangu njiani kuna mashimo watazame wanadamu mwanangu wasiwatenganishe kuna wema na wabaya mwanangu wote unaishi nao majirani na wa mbali mwanangu wasiwatenganishe wakija baba na mama zenu wazazi wa pande zote heshima kuwatendea wazazi mpate zenu baraka ndugu zenu wakifika kwenu kuja kuwatembelea sema nao kwa upendo nduguzo shida kuzisikia kuna rafiki wa kweli mwanangu katika shida na raha ishi nao kwa amani mwanangu vicheko pia furaha

Nenda Mwanangu Nenda.mp3

Nenda Mwanangu Nenda.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post