Ibada Lyrics ibada_lyrics Shule Yako – Baba nichukue nifunze nataka kusoma

Shule Yako – Baba nichukue nifunze nataka kusoma

Lyrics Of The Song Shule Yako – Baba nichukue nifunze nataka kusoma

Song ID 1201

baba nichukue ooh baba nichukue nifunze nataka kusoma kwa shule yako kwa shule yako nichukue nifunze nataka kusoma kwa shule yako kwa shule yako nikiwa nawe kama mwalimu ninajua nitahitimu nitashinda adui akileta majaribu unitayarishe unibadilishe mtihani nipite mwito nitimize nijue kuandika niandike maono yangu nijue kuhesabu nihesabu baraka zako nijue kuongea nihubiri neno lako oh kwa watu wako baba nichukue nifunze nataka kusoma kwa shule yako kwa shule yako nichukue nifunze nataka kusoma kwa shule yako kwa shule yako shule yako hatudanganyi ni ukweli na uwazi wanafunzi hawagomi mwalimu atujali unifunze mipango wote niwaheshimu Yesu ni mwalimu Yesu ni mwalimu nijue kuandika niandike maono yangu nijue kuhesabu nihesabu baraka zako nijue kuongea nihubiri neno lako oh kwa watu wako baba nichukue nifunze nataka kusoma kwa shule yako kwa shule yako nichukue nifunze nataka kusoma kwa shule yako kwa shule yako x2 oooh nifunze baba

Shule Yako – Baba nichukue nifunze nataka kusoma.mp3

Shule Yako – Baba nichukue nifunze nataka kusoma.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Related Post