Nichukue

Lyrics Of The Song Nichukue

Song ID 3497

nichukue nitengeneze niwe chombo chako Bwana nichukue nifinyange niwe chombo cha heshima hili ni ombi baba naomba nimekosa baba eeh makosa yangu hayahesabiki sistahili baba mbele zako na sasa baba naja hili ni ombi baba naomba nimekosa baba eeh makosa yangu hayahesabiki sistahili baba mbele zako na sasa baba naja kama vile daudi aliomba maombi yake ukayasikia kama vile paulo na silah waliomba baba eeh nakuomba baba nisikie kama vile daudi aliomba maombi yake ukayasikia kama vile paulo na silah waliomba baba eeh nakuomba baba nisikie moyo wangu wakutamani njia zako kuzifuata nitakase nikupendeze wewe ndiwe uhai wangu damu yako baba yanitosha moyo wangu wakutamani njia zako kuzifuata nitakase nikupendeze wewe ndiwe uhai wangu damu yako baba yanitosha

Nichukue.mp3

Nichukue.video.mp4 YouTube

 

Hits: 7

Leave a Reply

Related Post