Ibada Lyrics ibada_lyrics Nikupendeze – mienendo yangu na tabia Yangu

Nikupendeze – mienendo yangu na tabia Yangu

Lyrics Of The Song Nikupendeze – mienendo yangu na tabia Yangu

Song ID 2652

oh oooh yeah yeaaaah oh ooh uui still alive mienendo yangu na tabia zangu zikupendeze kuvaa kwangu na kunena kwangu kukupendeze mienendo yangu na tabia zangu zikupendeze kuvaa kwangu na kunena kwangu naomba ah nifanane nawe Yesu niwe jinsi upendavyox2 niguze nifinyange unibeebe niunde nitengeneze niwe kama wewe nikupendeze mm ah nikupendeze mhmmm nikupendeze eee nikupendeze mhmm mm familia yangu marafiki zangu tuwe sawa nawe biashara zangu kila kitu changu kiwe sawa nawe familia yangu marafiki zangu tuwe sawa nawe biashara zangu kila kitu changu kiwe sawa nawe ee niguze nifinyage unibeebe niunde nitengeneze niwe kama wewe x2 nikupendeze ee baba ah maishani mwangu nikupendeze ee baba familia yangu nikupendeze oh baba yeah yea nikupendeze baba mienendo yangu oh yea yea nifanane nawe Yesu niwe jinsi upendavyo niunde nitengeneze niwe kama we we nikupendeze oh nikupendeze nikupendeze eiye katika mienendo yangu nikupendeze aah niwe sawa nawe nikupendeze woye woye woye woye nitembee nawe nikupendeze baba baba kwa kunena kwangu nikupendeze hoye baba natamani sana nikupendeze woye baba nakupenda sana nikupendeze natamani sana nikupendeze kwa kunena kwangu kutembea kwangu oh niamkapo baba wacha nikupendeze

Nikupendeze – mienendo yangu na tabia Yangu.mp3

Nikupendeze – mienendo yangu na tabia Yangu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post