Ibada Lyrics ibada_lyrics Ewe Kenya Nchi Yangu

Ewe Kenya Nchi Yangu

Lyrics Of The Song Ewe Kenya Nchi Yangu

Song ID 980

huu wimbo ninaimba oh sio wimbo ni maombi nikiomba mwenyezi Mungu oh aibariki kenya yangu kwa jina la baba na la mwana oh roho mtakatifu amina kwa jina la baba na la mwana oh roho mtakatifu amina ewe kenya nchi yangu ewe kenya baba yangu ewe kenya mama yangu oh sitakuwacha milele akili zangu nguvu zangu oh nimeziweka mbele yako bibi yangu na watoto oh nimewaweka mbele yako taabu zangu shida zangu oh ziangalie kenya yangu taabu zangu shida zangu oh ziangalie kenya yangu matajiri maskini oh sisi sote binadamu matajiri maskini oh sisi sote binadamu tusahau majivuno oh na tuwache kupayuka tusahau majivuno oh na tuwache kupayuka utajiri majivuno oh sio tikiti ya mbinguni bahati yako ni ya leo ile ya kesho ndio yangu mhalifu twakujua mharibu twakuona tu plan zako twazijua lengo lako twalijua tu wataka kunyamba kenya we utuharibie hewa harufu yako twaijua hata ukipanda ndege ewe kenya nchi yangu ewe kenya baba yangu ewe kenya mama yangu oh sitakuwacha milele a patriotic kenyan song to thank the almighty especially on national days such as jamhuri independence day

Ewe Kenya Nchi Yangu.mp3

Ewe Kenya Nchi Yangu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Related Post